MIALIKO YA KIDIGITALI

Jukwaa la kidijitali kwa mialiko yoyote — tuma kadi na sms 1,000+ kwa dakika chache bila wewe kupiga simu.

Tunatengeneza kadi yako, tunatuma kwa kila mgeni kupitia SMS na WhatsApp, na majibu ya “Nitakuwepo” / “Sitakuwepo” yanakuja moja kwa moja kwako — design, ujumbe, na RSVP katika kifurushi kimoja.

Mfano wa mwaliko wa kidigitali
TZS 2,100

NIVLE Designs

Mfano wa mwaliko wa kidigitali
TZS 3,000

NIVLE Designs

Mfano wa mwaliko wa kidigitali
TZS 3,000

NIVLE Designs

RSVP papo hapo

👍 Nitakuwepo

Portfolio

Designs Zetu

Vinjari mifano ya mialiko yetu — kila design ina mtindo wake na inaweza kubadilishwa kulingana na tukio lako.

Harusi
Harusi

TZS 1,700

Kitchen Party
Kitchen Party

TZS 1,700

Send-off
Send-off

TZS 1,700

Birthday
Birthday

TZS 1,700

Mahafali
Mahafali

TZS 1,700

Uchumba
Uchumba

TZS 1,700

Vifurushi

Pakeji Zetu

Vifurushi vya Bei za EKADI: Vimepangiliwa Kukidhi Bajeti na Mahitaji Yako

Maarufu

Basic

TZS 1,800/kadi
  • Design ya kipekee ya mwaliko
  • SMS na WhatsApp mwaliko kwa wageni wote, ikiwa na vitufe vya RSVP (Nitakuwepo/Sitakuwepo)
  • Faili ya picha ya ubora wa juu
  • Marekebisho moja ya bure, uwasilishaji ndani ya masaa 48

Standard

TZS 2,600/kadi
  • Kila kitu katika Basic
  • Kadi ya "Save the Date" — inatumwa wiki 1-2 kabla ya tukio
  • Ukumbusho 1 (SMS na WhatsApp) siku 1-2 kabla ya tukio
  • Ujumbe wa kibinafsi kwa kila mgeni kwa jina lake

Premium

TZS 4,000/kadi
  • Kila kitu katika Standard
  • Ukumbusho wa SIKU YA TUKIO asubuhi (SMS na WhatsApp)
  • Ufuatiliaji wa RSVP za mwisho kabla ya tukio
  • Msaada wa kipekee hadi siku ya tukio
  • Ukumbusho wa vikao na michango (mara 2 - SMS na WhatsApp)

Jinsi Wageni Wanapokea Mialiko

WhatsApp

9:41
N

NIVLE Designs

online

SMS

9:41

NIVLE Designs

Ujumbe

Habari Asha, Umealikwa kwenye karamu ya Harusi ya Kelvin & Maria. Tarehe: 15 Julai 2026. Mahali: Mlimani City Mall. Karibu!

Jibu: NIVLE-4821

10:24

NIVLE-4821

10:25

Asante Asha! Uthibitisho wako umepokelewa: Nitakuwepo ✅

10:25

Soma Kabla ya Kuagiza

Maelezo haya ni muhimu — soma kwa makini kabla ya kuchagua kifurushi na kutuma orodha ya wageni.

  • Soma vizuri maelezo ya kila kifurushi (Basic/Standard/Premium) kabla ya kuagiza, ili uchague kinachofaa tukio lako.

  • Hakiki MAJINA na NAMBA ZA SIMU za wageni wote kabla ya kutuma orodha. Ujumbe ukiwa umetumwa (hata kama jina/namba si sahihi), inahesabika kama kadi limetumika — halirejeshwi bure.

  • Wakati wa kuorodhesha wageni, tofautisha wazi kati ya “Single” (mgeni mmoja) na “Double” (wanandoa/familia — watu wawili) — hii inaathiri jinsi mwaliko unavyowekwa kwa jina.

  • Marekebisho ya bure ni MARA MOJA tu kwa kila design — mabadiliko ya ziada yanaweza kuwa na gharama ndogo ya ziada.

  • Taarifa za tukio (tarehe, mahali) zikibadilika BAADA ya kuthibitishwa, tuarifu HARAKA ili kurekebisha ratiba ya “Save the Date”/ukumbusho (Standard & Premium).

Mchakato

Jinsi Inavyofanya Kazi

Hatua tatu tu kutoka design hadi kila mgeni kujua mahali na tarehe — na wewe kujua nani anakuja.

01

Chagua Design

Chagua mtindo unaopenda na kifurushi kinachokufaa — Design, SMS, au WhatsApp & RSVP.

02

Tupatie Taarifa za Wageni

Tutumie orodha ya wageni (majina na nambari) kupitia WhatsApp. Sisi tunashughulikia mengine.

03

Tunatuma Mialiko

Wageni wanapokea mialiko, wanajibu, na wewe unaona nani anakuja — bila kupiga simu.

Tayari kuandaa tukio lako?

Jaza maelezo yako, tutakupigia simu au kukuandikia WhatsApp

Hatua 1 / 4

Taarifa Zako